Albam ya kanye west
D3;albam ya kanye west “ye” kwa mujibu wa TMZ imeripoti kuwa imepata wasikilizaji milioni 1 ndani ya siku 3 na albam hiyo imeongoza kusikilizwa katika spotify na apple music ambapo albam nzima inabeba nyimbo saba.
we bring to you everything you want