Posts

Showing posts with the label Tecnology

Namna ya kuifadhi namba zako kwenye gmail

Image
Kama umewahi poteza simu yako ama sim card yako unajua ilivo vigumu kurudisha namba zako zote za simu. Nakumbuka zamani watu walikuwa wanaandika namba zao za simu kwenye daftari ama karatasi. Lakini katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia vitu ni rahisi sana zifuatazo ni njia za kuifadhi mawasiliano yako kwenye account yako ya gmail na namna ya kuzirudisha unapokuwa na simu mpya. angalizo: usisahau Gmail account yako au password yake unapotengeneza account yako ya gmail weka vitu unavyovikumbuka kiurahisi  Yakupasa uwe na account ya gmail unapokuwa na simu ya android Unganisha na account hiyo hamisha namba zote kwenye account hiyo na unaposave namba mpya akikisha unasave kwenye account hiyo.   Unaponunua simu mpya  ya android unganisha na gmail account yako.  Kwenye simu ya android nenda " Menu> Setting > Account na minya sehemu iliyoandikwa Sync" Bonyeza kwenye " Sync Contact " hii itarudisha mawasiliano yako yote kwenye sim...

Namna ya Kufanya manunuzi salama mtandaoni

Image
Kwa jinsi Dunia, ilivyoendelea kuna ulazima wa kufanya manunuzi matandaoni. kwa sababu ndio njia rahisi ya kufanya manunuzi vitu vingi vinauzwa kwenye mtandao na pia offer nyingi zinapatikana mtu anapofanya manunuzi mtandaoni. kwa ujumla manunuzi matandaoni ni rahis ni haraka na pia bidhaa inafika kwa haraka zaidi manunuzi hayajawahi kuwa rahisi kama kipindi hiki  Je vipi kuhusu watu wabaya ambao wanakaa na kutaka kufanya wizi kwenye mtando? ambao wanajifanya kama ni website kamili wanataka kuchukua taarifa zako na kufanya uharifu kwa kuchukua pesa zote kwenye account yako. kwa bahati nzuri miaka ya hivi karibuni namna ya kufanya manunuzi kwa kutumia mtandao imekuwa na usalama mkubwa lakini hakuna uwakika zaidi pindi unapofanya manunuzi mtandaoni Zifuatazo ni hatua ambazo zitakuhakikishia usalama pindi unapofanya manunuzi kwa kutumia mtandao         1.Tumia wavuti zinazojulikana  Unapotaka kufanya manunuzi kwenye mtandao jaribu kutumia site...

How to make bootable USB using cmd

Image
Before getting started, note that the data from your USB drive will automatically clean and make sure the command prompt is running as administrator. Follow the steps below to create bootable USB using command prompt (CMD): Insert a USB flash drive into a running computer. Open a Command Prompt window as an administrator. Type  diskpart . In the new command line window that opens, to determine the USB flash drive number or drive letter, at the command prompt, type  list disk , and then click ENTER. The  list disk  command displays all the disks on the computer. Note the drive number or drive letter of the USB flash drive. At the command prompt, type  select disk <X> , where X is the drive number or drive letter of the USB flash drive, and then click ENTER. Type  clean , and the click ENTER. This command deletes all data from the USB flash drive. To create a new primary partition on the USB flash drive, type  create p...