R kelly Kwenye Spotify
D3;Idadi ya watu wanao sikiliza nyimbo za R kelly kwnye spotify ya ongezeka baada ya spotify kutangaza kuzifuta nyimbo zenye maudhui ya chuki ikiwemo za R kelly na inasemekana idadi ya wasikilizaji kwa wiki ilikua ni 6,584,000 na huku takwimu za tar 10 mpaka 16 mwezi wa tano inaonyesha kuwa na wasikilizaji 6,676,000.
Comments
Post a Comment