Vanessa Mdee kati ya madada maarufu Bongo
D3;vannessa mdee ni kati ya wanadada marufu sana bongo Tamzania na nikati ya wanamziki wa kike kwa mafanikio makubwa ya muziki ukisema kama nigeria yupo Tiwa savage basi hapa bongo huyu ndiye kioo chetu pia kuna kazi zake kadhaa alisha zifanya sana ikiwemo kitu kikubwa albam yake ya themoneymondays ambayo ina almost 18 nyimbo na zote ziko vizuri ila pia goodnews ni kwamba vannessa sahivi anaungana na msanii mwenzake jux katika kufanya kazi pamoja au kuperform pamoja na tour yao hiyo itaenda na jina la Inlove&money.
Comments
Post a Comment