D3;Jamie Foxx katajwa na BET kama host atakae panda jukwaa la BET na kuhost,amabapo tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika 25 june mwaka huu kwenye ukumbi wa microsoft theater Los angelos,na Jamie Foxx hii inakua mara ya pili kuhost tuzo hizo na nominations zinaenda nyingi kwa mastaa Dj khalled,kendrick lamer,beyonce na migos....
Comments
Post a Comment