Posts

Showing posts from May, 2018

NGWEA MIX(Its All About Ngwea) | Download Mp3

Image
NGWEA MIX By DJ K U (Its All About Ngwea) | Download Mp3 Kwa watumiji wa Android  sikiliza hapa Play 📻 Pause 🔇  👍👇 LIKE US FOR UPDATE FROM US  

AUDIO | Rosa Ree ft Emtee – Way Up | Download

Image
AUDIO | Rosa Ree ft Emtee – Way Up | Download Kwa watumiji wa Android  sikiliza hapa Play 📻 Pause 🔇  👍👇 LIKE US FOR UPDATE FROM US   </

Movie| The nut job 2 HD

Image
Surly the squirrel and his animal friends find out that the corrupt mayor of Oakton plans to bulldoze their beloved Liberty Park to make way for an amusement park. Hoping to save the place they call home, Surly, Andie, Buddy and the rest of the gang join forces with Mr. Feng, a seemingly cute and innocent mouse who happens to be a fierce master of kung fu. Initial release: August 2017 (United Kingdom) Size 715 mb Kwa Watumiaji wa Android  👍👇 LIKE US FOR UPDATE FROM US   👍

Falz

Image
D3;the baddest guy ndio anajita Ila jina lake ni Falz ni mwanamziki kutoka nigeria anandika kuwa kati ya wasani walio fanya cover ya Childish Gambino ya wimbo wake wa This is America unaotremd sana pande za usa na Falz alipotoa cover yake akisema This is Nigeria,msani na rapper mwenye mkwanja mrefu wa pili duniani Diddy kaifurahia na kuiunga mkono na kahaidi itapigwa Revolt Tv ,

AUDIO | RUBY FT. THE MAFIK - NIWAZE (PROD. BY YOGO BEATS) | DOWNLOAD FAST

Image
AUDIO | RUBY FT. THE MAFIK - NIWAZE (PROD. BY YOGO BEATS) | DOWNLOAD FAST Kwa watumiji wa Android  sikiliza hapa Play 📻 Pause 🔇  👍👇 LIKE US FOR UPDATE FROM US   </

R kelly Kwenye Spotify

Image
D3;Idadi ya watu wanao sikiliza nyimbo za R kelly kwnye spotify ya ongezeka baada ya spotify kutangaza kuzifuta nyimbo zenye maudhui ya chuki ikiwemo za R kelly na inasemekana idadi ya wasikilizaji kwa wiki ilikua ni 6,584,000 na huku takwimu za tar 10 mpaka 16 mwezi wa tano inaonyesha kuwa na wasikilizaji 6,676,000.

majina ya Form 6 waliochaguliwa kujiunga na JKT

Image
Names Of Form Six leaver Students Selected To Join Different Camp For The Training in Different Part Of Tanzania In 2018 CLICK ON DESIRABLE CAMP LINK BELOW TO LOOK YOUR CHOICES BULOMBORA https://openload.co/f/YkJaY5_zcHs/BULOMBORA.pdf KANEMBWA https://openload.co/f/uzHnS-8Cqho/KANEMBWA.pdf MAFINGA https://openload.co/f/TDNw6Rsu2sc/MAFINGA.pdf MAKUYUNI https://openload.co/f/-2DGuASWegQ/MAKUYUNI.pdf MARAMBA https://openload.co/f/X7L6o6caW9c/MARAMBA.pdf MLALE https://openload.co/f/rQQZGAUUPlo/MLALE.pdf MTABILA https://openload.co/f/mgXmYpKKaBA/MTABILA-1.pdf NACHINGWEA https://openload.co/f/BJK0ndpS5Ek/NACHINGWEA.pdf RUVU https://openload.co/f/4kXpkW7WT4E/RUVU.pdf RWAMKOMA https://openload.co/f/wYt_TSziH3Y/RWAMKOMA.pdf

AUDIO| Pochi Nene Remix | Download

Image
AUDIO | Rayvanny Ft. Khaligraph Jones, Godzilla, Rosa Ree, Izzo Bizness, Counrty boy, Young Dee, & Wakorinto – Pochi Nene Remix | Download Kwa watumiji wa Android  sikiliza hapa Play 📻 Pause 🔇  👍👇 LIKE US FOR UPDATE FROM US   </

AUDIO: Korede Bello – 2geda

Image
AUDIO: Korede Bello – 2geda Kwa watumiji wa Android  sikiliza hapa Play 📻 Pause 🔇  👍👇 LIKE US FOR UPDATE FROM US   </

Tuzo za BET

Image
D3;Jamie Foxx katajwa na BET kama host atakae panda jukwaa la BET na kuhost,amabapo tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika 25 june mwaka huu kwenye ukumbi wa microsoft theater Los angelos,na Jamie Foxx hii inakua mara ya pili kuhost tuzo hizo na nominations zinaenda nyingi kwa mastaa Dj khalled,kendrick lamer,beyonce na migos....

Movie Black Panther HD

Image
Black Panther Rating: PG-13  Release Date: Feb 16, 2018 size 1.1 GB Marvel Studios’ “Black Panther” follows T’Challa who, after the death of his father, the King of Wakanda, returns home to the isolated, technologically advanced African nation to succeed to the throne and take his rightful place as king. But when a powerful old enemy reappears, T’Challa’s mettle as king—and Black Panther—is tested when he is drawn into a formidable conflict that puts the fate of Wakanda and the entire world at risk. Faced with treachery and danger, the young king must rally his allies and release the full power of Black Panther to defeat his foes and secure the safety of his people and their way of life. “Black Panther” stars Chadwick Boseman, Michael B. Jordan, Lupita Nyong’o, Danai Gurira, Martin Freeman, Daniel Kaluuya, Letitia Wright, Winston Duke, with Angela Bassett, with Forest Whitaker, and Andy Serkis. The film is directed by Ryan Coogler and produced by Kevin Feige with...

Future&nickminaj kwenye mahusiano

Image
D3;Kuna tetesi za ma rapper pande za USA ,future na nickminaj kuwa kwenye mahusiano na tarifa hizo zimethibitishwa na rafiki wa karibu kwa nickminaj

The black panther

Image
D3;Tambua kuwa movie kali na yenye views wengi kwenye huu msimu ni hii yapa ‘BLACK PANTHER’ iliyo chini ya Marvel’s na ina elekea views 1$ billions worldwide. Soon itakuwa available on SwahiliDoc

Barack obama & michalle obama

Image

VIDEO: Sauti Sol ft Nyashinski – Short N Sweet

Image
VIDEO: Sauti Sol ft Nyashinski – Short N Sweet Download here Kwa watumiaji wa android  👍👇 LIKE US FOR UPDATE FROM US   👍 Toa Maoni Yako Hapa

Billboards awards

Image
D3;Jua kwamba Janet  jackson is the first black woman to ever win the Icon awards at the music Billboards Awards.....na Good news ni bado janet jackson aliweza kuperfome style ya africa katika juu kwa la billboards ijulikanayo kama akwabaa dance iliyo imbwa na Mr.Eazi.

Movie London has Fallen

Image
The sequel to the worldwide smash hit  Olympus Has Fallen  begins in London, where the British Prime Minister has passed away under mysterious circumstances. His funeral is a must-attend event for leaders of the western world. But what starts out as the most protected event on earth, turns into a deadly plot to kill the world’s most powerful leaders, devastate every known landmark in the British capital, and unleash a terrifying vision of the future. Only three people have any hope of stopping it: the President of the United States, his formidable secret service head (Gerard Butler), and an English MI-6 agent who rightly trusts no one. Action | Crime | Thriller     Dir.  Babak   Najafi , UK/US/Bulgaria, 2016, 99 mins     Cast: Gerard Butler, Aaron Eckhart, Morgan Freeman, Angela Bassett, Charlotte Riley   Kwa Watumiaji wa Android  👍👇 LIKE US FOR UPDATE FROM US   👍 Toa Maoni Yako Hapa ...

Royal wedding (prince harry & meghan markle)

Image
D3;Tayari official pictures za prince harry na meghan markle zimeanza kutoka,tembelea ukurasa wetu mara kwa mara ntaziweka kwa pamoja zote zilizo wekwa kwa area zote za Harusi

Chriss brown na spotify

Image
D3;kuna hati hati ya breezy (chriss brown) kupigwa chini na mtandao wa spotify  hii kutokana na wake kutoka haki za wanawake kushinda kesi ya Rkelly na kufanikiwa.....wengine wanaombewa sana kuwa kwenye list hiyo ni NELLY na EMINEMM....🤣🤣🤣 chriss alishakua mpebari.

Namna ya kuifadhi namba zako kwenye gmail

Image
Kama umewahi poteza simu yako ama sim card yako unajua ilivo vigumu kurudisha namba zako zote za simu. Nakumbuka zamani watu walikuwa wanaandika namba zao za simu kwenye daftari ama karatasi. Lakini katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia vitu ni rahisi sana zifuatazo ni njia za kuifadhi mawasiliano yako kwenye account yako ya gmail na namna ya kuzirudisha unapokuwa na simu mpya. angalizo: usisahau Gmail account yako au password yake unapotengeneza account yako ya gmail weka vitu unavyovikumbuka kiurahisi  Yakupasa uwe na account ya gmail unapokuwa na simu ya android Unganisha na account hiyo hamisha namba zote kwenye account hiyo na unaposave namba mpya akikisha unasave kwenye account hiyo.   Unaponunua simu mpya  ya android unganisha na gmail account yako.  Kwenye simu ya android nenda " Menu> Setting > Account na minya sehemu iliyoandikwa Sync" Bonyeza kwenye " Sync Contact " hii itarudisha mawasiliano yako yote kwenye sim...