Posts

Showing posts from June, 2018

Audio | MBOSSO – NADEKEZWA | Mp3 Download

Image
Audio | MBOSSO – NADEKEZWA | Mp3 Download Kwa watumiji wa Android  sikiliza hapa Play 📻 Pause 🔇  👍👇 LIKE US FOR UPDATE FROM US  

AUDIO | VANESSA MDEE - THE WAY YOU ARE ( PRODBY MANECKY) | DOWNLOAD

Image
AUDIO | VANESSA MDEE - THE WAY YOU ARE ( PRODBY MANECKY) | DOWNLOAD  Kwa watumiji wa Android  sikiliza hapa Play 📻 Pause 🔇  👍👇 LIKE US FOR UPDATE FROM US   </

Albam ya kanye west

Image
D3;albam ya kanye west “ye” kwa mujibu wa TMZ imeripoti kuwa imepata wasikilizaji milioni 1 ndani ya siku 3 na albam hiyo imeongoza kusikilizwa katika spotify na apple music ambapo albam nzima inabeba nyimbo saba.

Vanessa Mdee kati ya madada maarufu Bongo

Image
D3;vannessa mdee ni kati ya wanadada marufu sana bongo Tamzania na nikati ya wanamziki wa kike kwa mafanikio makubwa ya muziki ukisema kama nigeria yupo Tiwa savage basi hapa bongo huyu ndiye kioo chetu pia kuna kazi zake kadhaa alisha zifanya sana ikiwemo kitu kikubwa albam yake ya themoneymondays ambayo ina almost 18 nyimbo na zote ziko vizuri ila pia goodnews ni kwamba vannessa sahivi anaungana na msanii mwenzake jux katika kufanya kazi pamoja au kuperform pamoja na tour yao hiyo itaenda na jina la Inlove&money.

Movies za swahili doc

Image
D3;swahili doc inakupa hi inaitwa Fauda ina actions za kufa mtu na iko mazingira ya kiarabu na unavyojua kule ndipo penyewe kama ni actions ni actions kweli na mlipuko kweli mixer ma sniper wa kutosha.